Kwenye mitandao wame toa Maoni kuhusu Governement yao, hawo ni laiya kutoka Kivu Kasikazini mwa inchini Jemuhuli ya kidemicarasi ya Congo (RDC).
Wakwanza ni Bwana M. Bravo, amesema hivi: “Shukrani kwa wana habari ambao wame tupa mda wa kuzungumuzia kuhusu vita vinavyo endelea mashariki mwa DRC Hasa zaidi Sud kivu na Nord kivu
Kwa ukweli uki angalia vita ambavyo vime sababisha watu ma elefu kuyahama makwao Vita hii imeletwa na wakuu viongozi wa serekali 1 wakuu viongozi wa kisiasa kuchochea chuki ya ukabila kwa lahia Wamoja waki wa ambia lahia kama kuna wenyeji wa nchi na wale wengine sio wenyeji wa nchi
tuki kumbuka maneno ambayo yameongelelewa na wamoja kati ya wanabunge na viongozi wengine Kama 1 Justin Bitakwira 2 CLAUD Misare ( Mbunge ambae ame teuliwa na rahia katika tarafani uvira) 3 Bwana Nzangi ( Mmoja kati ya viongozi wa Nord kivu Wafanya siasa hawa wamekua na Mikutano mara kazaa waki onyesha rahia kama kuna wale wana sitahili kuishi yaani ni wao wenyeji wainchi nawe ngine sio wenyeji wa inchi
Neno lifuatalo nikwamba serekali ya DRC ime wapa makao wa asi kutoka nchi zingine kama 1 Uganda ( ADF) 2 Rwanda( FDLR, RNC, RUD urunana, P5) 3 Burundi ( RED TABARA,FNL, FORBU) Wa asi hawa wote kutoka inchi kama hizo tumesema Wote wamepewa na fasi ya ku ishi hata na kufanya Kazi zakijeshi Katika mashariki ya RDC kwa ruhusa wame pewa na Serekali
Chanzo ya vita hivyo ni serekali yenyewe kutoku kua na musimamo wa kuzuia yeyote kutoka nchizingine Kwa kuepuka shida za nchi ambazo wa asi hao wametoka
Suluhisho ni 1 peke Ni mabadiriko ya serekali na kuwa wekea mashitaka wale wote ambao wana chochea chuki kati ya ma kabila.”
Aksante.
Muramira Rukunzangabo, naye amesema hivi: “Shida tulipata ni selekali yetu ya congo ndiyo inasababisha umakabila Kwa sababu inchi inayo mabunge Wa kuteuliwa Inayo mawaziri Wanao husika na Vitu vingi inchi
Inchi inayo Raïs Muteuliwa kwa Nini Wenyeji wa inchi wabaguliwe Mahali
Raïs yupo kwa mfano Mututsi
Mukongo aonenewe kwa sura yake
Kwa lugha yake
Natena ni mwenyeji wa inchi tangu Afrique iwepo
Turudi kihistoria ya inchi uhamiaji Mukubwa wawatu weusi Unasititiza kwamba karne 15 ndipo tuka ingiya kongo
Makabila iliyo ingiya wakati huo
Ni pygmées Bantous Nilotiques Soudanais
Nasisi wa Tutsis Niukoo wahao nilotiques
Lakini chamushangao tunabaguliwa
Serikali inabidi Kutowa chuki ndani yauongozi
Chapili fwata njiya ya Maendeleo isipo kuwa inchi Yetu Ndiyo haina Mabarabara yakabulimbo
Chunguza inchi zinazo tuzunguka zinazo barabara
Cha tatu hatuna mahakama yakuazibu wafanya maovu
Jameni Congo tuige uongozi bora Sawa inchi nyingine
Madini tunayo lakini wakongomani Ndiwo maskini Kuliko wengine Inchi zinazo Tuzunguka
Zinatuzidi kujua kutumiya uchumi wao
Wakongomani tunafikiya mwaka wa 2023 Gisi zingine inchi
To provide the best experiences, we use technologies like cookies to store and/or access device information. Consenting to these technologies will allow us to process data such as browsing behavior or unique IDs on this site. Not consenting or withdrawing consent, may adversely affect certain features and functions.
Functional
Always active
The technical storage or access is strictly necessary for the legitimate purpose of enabling the use of a specific service explicitly requested by the subscriber or user, or for the sole purpose of carrying out the transmission of a communication over an electronic communications network.
Preferences
The technical storage or access is necessary for the legitimate purpose of storing preferences that are not requested by the subscriber or user.
Statistics
The technical storage or access that is used exclusively for statistical purposes.The technical storage or access that is used exclusively for anonymous statistical purposes. Without a subpoena, voluntary compliance on the part of your Internet Service Provider, or additional records from a third party, information stored or retrieved for this purpose alone cannot usually be used to identify you.
Marketing
The technical storage or access is required to create user profiles to send advertising, or to track the user on a website or across several websites for similar marketing purposes.