Niyamaana kwa upande wetu sisi wa Kristo Shetani ajuwe kabila letu kamasisi niwa ukoo wa Kristo kama vile Hamani aliwai kujuwa ukoo wala kabila la Moridekayi.
Esta 3:5-6 [5]Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana. [6]Akaona si shani kumtia mikono Mordekai peke yake; maana wamemjulisha kabila yake Mordekai; kwa hiyo Hamani alitaka kuwaangamiza Wayahudi wote waliokuwa wakikaa katika ufalme wote mzima wa Ahasuero, yaani, watu wake Mordekai.
Hata kama Hamani ali taka kumuuwa Mordekai kwasa babu amekataa kumutii naku muinamiya ali kasirika sana wala ame ghadhibika sana ndipo akasema sita muuwa Mordekai peke yake nita wauwa wayahudi wote lakini kwa Maombi ya Esteri na wayahudi wote waliyo muliliya Mungu wao Mipango mibaya ya Hamani iri murudiliya mwenyewe Mkewe namarafiki zake zote waka muambia kama Mordekai huyo ni wa Kabila ao uzao wa wa Yuda hauta muweza hataanguka mbele zako bali wewe utaanguka mbele yake nautakufa wewe kabla yeye kufa.
NB: Nilazma Shetani ajuwe kabila letu nawakina Hamani maadui zetu inabidi wajuwe kama sisi niwatu wa Mungu.
To provide the best experiences, we use technologies like cookies to store and/or access device information. Consenting to these technologies will allow us to process data such as browsing behavior or unique IDs on this site. Not consenting or withdrawing consent, may adversely affect certain features and functions.
Functional
Always active
The technical storage or access is strictly necessary for the legitimate purpose of enabling the use of a specific service explicitly requested by the subscriber or user, or for the sole purpose of carrying out the transmission of a communication over an electronic communications network.
Preferences
The technical storage or access is necessary for the legitimate purpose of storing preferences that are not requested by the subscriber or user.
Statistics
The technical storage or access that is used exclusively for statistical purposes.The technical storage or access that is used exclusively for anonymous statistical purposes. Without a subpoena, voluntary compliance on the part of your Internet Service Provider, or additional records from a third party, information stored or retrieved for this purpose alone cannot usually be used to identify you.
Marketing
The technical storage or access is required to create user profiles to send advertising, or to track the user on a website or across several websites for similar marketing purposes.